Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Nchini.
Ujumbe huo umeongozwa na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Nchini Mhe. Jaji Imani Daud Aboud.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amekutana na Ujumbe kutoka Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Nchini, tarehe 04 Desemba, 2024 Ofisini kwake Bungeni, Jijini Dodoma.