Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza jambo na Rais wa Marekani Mhe. Joe Biden kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Marekani, Kongo na Zambia kuhusu Ushoroba wa
Lobito (Lobito Corridor), ambapo Tanzania ni mgeni mwalikwa katika Mkutano huo unaofanyika katika Mji wa Lobito nchini Angola tarehe 04 Desemba 2024.