Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua Mkutano wa 21 wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Afrika ya Mashariki kwenye ukumbi wa hoteli ya GranMelia jijini Arusha, Desemba 3, 2024. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma alipowasili kwenye viwanja vya hoteli ya GranMelin jijini Arusha kufungua Mkutano wa 21 wa Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki, Desemba 3, 2024. Wa pili kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma. Mheshimiwa Majaliwa alimwamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma alipowasili kwenye viwanja vya hotel ya GranMelin jijini Arusha kufungua mkutano wa 21 wa Chama cha Majaji wa Afrika Mashariki, Desemba 3, 2024. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Mahakama Tanzania, Profesa Elisante Ole Gariel alipotoa maelezo mafupi kabla ya Waziri Mkuu kufungua mkutano wa 21 wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Afrika ya Mashariki kwenye ukumbi wa hoteli ya GranMelia jijini Arusha, Desemba 3, 2024. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi wengine wakiiimba Wimbo wa Taifa wakati Waziri Mkuu alipomwakilisha Rais Dkt.. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Chama cha Majaji wa Afrika ya Mashariki kwenye ukumbi wa hoteli ya Granmeliia jijini Arusha, Desemba 3, 2024. Kushoto kwake ni Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Paramagamba Kabudi na Kulia kwake ni Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)