Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayemaliza muda wake Rais wa Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir Mayardit akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais wa Kenya Mhe. William Ruto kwenye Mkutano wa kawaida wa 24 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha tarehe 30 Novemba, 2024.