Kwa majina naitwa Naseeb Ally kutoka Tanga, Tanzania, familia yetu ina uwezo mkubwa sana tu kifedha, licha ya hilo sikuwa na amani kwa kipindi cha miaka 12 kutokana na kusumbuliwa na ndoto za kichawi kila mara.
Tatizo hili lilianza nilipokuwa kidato cha tatu katika shule ya kulala, kila mara nilikuwa nashtuka na kujikuta nimetokwa na jasho jingi sana kiasi cha kulowesha shuka lote kitandani.
Muda mwingine rafiki zangu walikuwa wananiambia kuwa nilikuwa napiga kilele usingizini na kuzungumza mambo yasiyojulikana ni kutoka lugha gani hapa duniani, sio Kiswahili, Kiingereza wala Kiarabu.
Basi hali hiyo iliendelea hadi nilipomaliza Chuo Kikuu, jambo hilo lilinifanya nishindwe hata kwenda kulala kwa rafiki zangu au ndugu maana wangeingiwa na wasiwasi mkubwa sana.
Nilizunguka sehemu mbalimbali kutafuta tiba ya tatizo hilo bila mafanikio yoyote yale, ilifikia kipindi nikakata tamaa maana niliona ni fedha tu namalizia lakini hakuna mabadiliko yoyote.
Hali ilikuwa mbaya zaidi pale nilipooa, nilikuwa napiga sana kilele usiku, mke wangu alikuwa akihuzunishwa na tatito lile sana kiasi kwamba akawa anafikia hatua ya kulia.
Maneno niliyokuwa naongea ambayo watu walikuwa ananiambia kuwa hayaeleweki yalipelela mke wangu kuamua kurudi kwao.
Nikiwa nimesalia pekee yangu nyumbani, nilipenda kusoma mtandaoni mambo mbalimbali kuhusu namna ya kutbibiti uchawi na ndoto mbaya.
Ndipo nikajikuta nimeingia kwenye mtandao wa Dr Bokko na nikagundua kuwa wanaweza kunisaidia.
Bila kusita niliamua kuchukua namba ya Dr Bokko na kuwasiliana naye, mara moja aliniambia kuwa anafahamu tatizo langu ndipo akaanza kulishughulikia kwa kufanya matambiko ya kuondoa ndoto mbaya.
Nachoweza kusema tangu siku ile nimewasiliana Dr Bokko, sikuwahi tena kuota ndoto za kichawi kama ilivyokuwa hapo awali, nilikuwa nikilala usingizi mnono sana ambao niliukosa kwa muda mrefu.
Basi niliamua kumfuata mke wangu na kumwambia kwa sasa nimepona na nipo sawa, aliamua kurejea nyumbani, baada ya siku chache aliniambia kweli kwa sasa ameona mabadiliko makubwa katika maisha yangu. Mpigie Dr Bokko +255618536050 kwa msaada zaidi.