Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ufaransa hapa nchini Mhe. Anne-Sophie Avé kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Barbados hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya Mhe. William Alexander McDonald kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Ahn Enju kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ethiopia hapa nchini Mhe. Fekadu Beyene Ayana kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Switzerland hapa nchini Mhe. Nicole Providoli kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Somalia hapa nchini Mhe. Ilyasa Ali Hassan kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Australia hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya Mhe. Jenny Isabella Da Rin Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024.