Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mhe. Amir Mkalipa akipiga mpira wa golf ikiwa ni alama ya uzinduzi wa mashindano ya Vodacom Tanzania Open 2024 ambapo mdhamini mkuu ni kampuni ya Vodacom Tanzania Plc. Wanaoshuhudia ni Rais wa Chama cha Golf Tanzania Gilman Kasiga (wa kwanza kulia) na mkuu wa idara ya Suluhisho za kibiashara (Enterprise Solution) wa kampuni hiyo Ali Zuheri (wa pili kutoka kulia).