Jina langu ni Husna kutokea Pwani, Tanzania, nikiwa na umri wa miaka 20 wakati nimejiunga na chuo nilianza kunywa pombe pamoja na kuvuta sigara, huo ni ushawishi wa kundi la marafiki niliokuwa nao, wengi walikuwa akivuta na kunywa.
Kwa kawaida kutokana na tamaduni zetu, ni wasichana wachache sana ambao huvuta sigara, mara nyingi wanaovuta sigara kwa wengi ni wanaume, hata mwanamke anayevuta sigara hawezi kuvuta kwa wakati mrefu sana.
Kuna kipindi lazima ataacha tu, kwa mfano mwanamke mjamzito hawezi kuvuta sigara wala kunywa pombe, endapo atafanya hivyo itakuwa ni hatari kwa afya yake na kiumbe kilichopo tumboni mwake.
Sasa kwa upande wangu hata nilipoliza chuo niliendelea na mtindo huo wa kuvuta sigari ingawa ilikuwa kwa siri sana, hata nyumbani kwetu hakuna aliyeweza kujua, hata ndugu zangu hakuweza kujua kuhusu jambo hilo.
Nilipofikisha umri wa miaka 24 nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana, aliahidi kunioa maana alivutia na mimi, alifikia hatua ya kuja kujitambulisha nyumbani kwetu, nami akanipeleka nyumbani kwao kunitambulisha.
Kweli alinioa na tukaanza kuishi kama mume na mke, mwanzo maisha yalikuwa ni mazuri tu, kipindi cha mwanzoni mwa ndoa yetu nilijitahidi sana nisiwe navuta sigara, nilikaa kama wiki mbili bila kuvuta ila uvumilivu ukanishinda.
Basi nikaanza kuvuta kwa kificho, akiwa kazini navuta hadi hamu ya sigara inaisha, kisha naswaki kinywa changu vizuri kiasi kwamba nahakikisha hakitakuwa na harufu ya sigara, vilevile nakuwa siongei naye kwa ukaribu.
Maisha yaliendelea hivyo hivyo ila siku moja akabaini kwa navuta sigara baada ya kuzikuta nimezificha chini ya dogoro, anasema kuna siku alisikia harufu ya sigara mdomoni kwangu ila hakuniuliza maana hakudhani kama naweza kufanya kitu kama hicho.
Hata hivyo, nilimbishia kwa asilimia 100 kuwa sivuti sigara, basi alinichukua hadi hospitali (maabara), nikapimwa na kugundulika ni kweli nimekuwa nikivuta sigara. Mume wangu alichukia sana, alinifukuza nyumbani nikarudi kwa wazazi wangu, wazazi waliposikia jambo hilo walihuzunika sana.
Siwezi kuimbuka siku hiyo, kwa hakika niliumia sana, nililia sana, nashukuru mume wangu alikuja kunichukua tena na kusema atanisaidia ili niache kuvuta sigara.
Nashukuru niliweza kupata tiba kutoka kwa Dr Bokko, mtaalamu ambaye mume wangu ndiye alinipeleka kwake.
Tangu wakati huo niliweza kuacha moja kwa moja kuvuta sigara, kwa sasa mimi ni mwanamke mzuri tu ambaye sivuti sigara na sasa ninaendesha maisha yangu vizuri bila ya tabu yoyote ile na siku sio nyingi natarajia kuitwa mama kwa mara ya kwanza. Mpigie Dr Bokko +255618536050 ili kupata huduma.