Machifu wa jiji la Mbeya wakiongozwa na Chifu Lyoto wakipokea zawadi kutoka kwa Dkt. Dominick Chalu Mwakilishi wa Mkurugenzi Utumishi na Uendeshaji Tawi BoT Mbeya Mara baada ya kutembelea katika banda ma BoT katika Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”, yanayoendelea katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, jijini Mbeya, ambayo yamezikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka jijini Mbeya na mikoa jirani.
Machifu wa jiji la Mbeya wakiongozwa na Chifu Lyoto wakipata maelezo wakati alipotembelea katika banda la BoT katika Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”, yanayoendelea katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, jijini Mbeya, ambayo yamezikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka jijini Mbeya na mikoa jirani.