Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa akipata maelezo kutoka kwa Meneja Msaidizi wa Mawasiliano Benki Kuu ya Tanzania BoT, Bi. Noves Mosses wakati alipotembelea katika katika banda la BoT kwenye maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita.
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa (kulia akipata maelezo kutoka Meneja Msaidizi wa Mawasiliano Benki Kuu ya Tanzania BoT, Bi. Noves Mosses wakati alipotembelea atika banda la BoT kwenye maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita.
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa katikati akipata maelezo kutoka kwa Issa Pagali Meneja Msaidizi, Idara ya Uchumi – Benki Kuu Tawi la Mwanza wakati alipotemelea katika banda la benki hiyo maonesho ya teknolojia ya madini mjini Geita kushoto ni Meneja Msaidizi wa Mawasiliano Benki Kuu ya Tanzania BoT, Bi. Noves Mosses.
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa akipokea zawadi ya mfano wa Sarafu ya shilingi 500 kutoka kwa Meneja Msaidizi wa Mawasiliano Benki Kuu ya Tanzania BoT, Bi. Noves Mosses alipotembelea katika banda la BoT kwenye maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita.
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa akitoa maagizo kwa kwa Meneja Msaidizi wa Mawasiliano BoT, Bi. Noves Mosses. alipotembelea katika banda la BoT kwenye maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita.
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa akipokea zawadi kutoka kwa Meneja Msaidizi wa Mawasiliano BoT, Bi. Noves Mosses alipotembelea katika banda la BoT kwenye maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita.