Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Msaidizi wa Mawasiliano Benki Kuu ya Tanzania BoT, Bi. Noves Mosses wakati alipotembelea katika banda la BoT kwenye maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita Oktoba 12, 2024.
Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong (kulia) akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea katika banda la BoT kwenye maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita kushoto ni Meneja Msaidizi wa Mawasiliano Benki Kuu ya Tanzania BoT, Bi. Noves Mosses.
Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong (kulia) katikati akipata maelezo kutoka kwa Issa Pagali Meneja Msaidizi, Idara ya Uchumi – Benki Kuu Tawi la Mwanza wakati alipotemelea katika banda la benki hiyo maonesho ya teknolojia ya madini mjini Geita kushoto ni Meneja Msaidizi wa Mawasiliano Benki Kuu ya Tanzania BoT, Bi. Noves Mosses.
Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong (kushoto ) akipata maelezo kutoka kwa Joshua Manga
Mchambuzi masula ya Fedha kutoka Kurugenzi ya Masoko ya Fedha wakati alipotemelea katika banda la benki hiyo maonesho ya teknolojia ya madini mjini Geita.
Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong (kushoto ) akipata maelezo kutoka kwa Mamy Katikiro Afisa mkaguzi Kurugenzi ya Usimamizi wa Sekta ya Fedha alipotemelea katika banda la benki hiyo maonesho ya teknolojia ya madini mjini Geita.
Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Meneja Msaidizi wa Mawasiliano Benki Kuu ya Tanzania BoT, Bi. Noves Mosses Mara baada ya kutembelea atika banda la BoT kwenye maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita.