Jina langu ni Fatma mkazi wa Pwani, Kenya, baada ya mimi kuzaliwa, baba na mama yangu walitengana na baba yangu alioa mke mwingine, wakati huo mimi nilikuwa nalelewa na mama yangu hadi pale nilipotimiza miaka saba ndio nikaenda kwa baba yangu mzazi.
Basi niliishi na baba na mama yangu wa kambo kwa shida sana kwani hakuwahi kunipenda hata siku moja, lakini namshukuru ingawaje niliishi kwa changamoto lakini sikuwahi kukata tamaa ya kuishi hapa duniani.
Kiukweli nilipitia kila aina ya manyanyaso na masimango, hakuna neno baya ambalo sijawahi ambiwa, kuhusu manyanyaso hakuna rangi sijawahi kuyaona ila sikukata tamaa.
Dunia ilizidi kuwa chungu sana kwangu pale mama yangu mzazi alipofariki, mateso yakazidi ni kama alikuwa anasubiriwa afe wanisulubu vizuri.
Cha kushangaza nilipofika umri wa mtu mzima baba yangu nae akaanza kunisumbua yaani kunitaka kimapenzi, binti yake kabisa, nilikuwa nawaza nimemkosea nini Mwenyezi Mungu?. Alinisumbua sana lakini nilimkatalia kabisa.
Miezi kadhaa kupita niliamua ku-google namna ya kukabiliana na migogoro ya famili, baada ya kusoma mitandao mingi nilikutana na tovuti ya Dr Bokko ambayo ilieleza kuwa naweza kupata huduma hiyo, basi nikachukua namba yao ambayo ni hii hapa +255618536050.
Dr Bokko alinisikiliza kwa umakini mkubwa na kunifanyia dawa ambayo aliniambia itanipa matokeo mazuri, niwe na subra tu, wala nisiwe na wasiwasi kwani wengi amewasaidia katika eneo hilo nyeti.
Niliendelea na kazi zangu za kila siku, baada ya siku mbili, nilipata kazi ambayo nilikuwa naisubiri kwa kipindi kirefu, kazi hyo nilitakiwa niwe naenda kulala huko, hivyo niliondoka pale nyumbani.
Baada ya kukaa huko kazini kwa wiki moja, Baba alinipigia simu na kuniomba msamaha kwa yote yaliyotokea. Nilimsamehe na sasa tunaishi vizuri.