RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Bi. Fatma Abdallah Mussa (Kijeshi) Kepteni Mstaafu wa (JWTZ) alipofika nyumbani kwake Kidongochekundu Wilaya ya Mjini Unguja, kumtembelea na kumjulia hali yake leo 27-9-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali yake Bi. Fatma Abdallah Mussa (Kijeshi) Kepteni Mstaafu wa (JWTZ) alipofika nyumbani kwake Kidongochekundu Wilaya ya Mjini Unguja leo 27-9-2024, ikiwa ni kawaida yake kuwatembelea Wazee mbalimbali na kuwajulia hali zao.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na familia ya Bi.Fatma Abdallah Mussa (Kijeshi) Kepteni Mstaafu wa (JWTZ) (kushoto kwa Rais) alipofika nyumbani kwake Kidongochekundu kujulia hali yake, ikisomwa na Katibu wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo.(Picha na Ikulu)