RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni Mwenyekiti wa “National Energy Center” ya Oman Abdullah Humaid Al Ma’amary, na (kulia kwa Rais) Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-9-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na ujumbe wa “National Energy Center” kutoka Nchini Oman, ukiongozwa na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia kazi zake Zanzibar. Mhe.Said Salim Al Sinawi (kulia kwa Rais) na Mwenyekiti wa “National Energy Center” Abdullah Humaid Al Ma’amary na CEO.Kituo hicho Mustafa Mohammed Al Hinai, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-9-2024.(Picha na Ikulu)