Naitwa Jeska. Katika ujana wangu, nilijikuta kwenye njia panda ambayo, hadi leo, imeniweka kwenye mazingira magumu lakini pia imenipa funzo kubwa kwamba tiba za asili ni muhimu kwa sisi Waafrika.
Miaka minne iliyopita, nilikutana na kijana mmoja kutoka familia ya kitajiri. Tulipendana sana, na baada ya muda nikapata ujauzito wake. Hata hivyo, nilikuja kugundua kuwa mwenzangu alikuwa na matatizo ya kiafya tangu kuzaliwa, ambayo hakuwahi kuniambia. Sikuwa na uhakika ni matatizo gani hasa, lakini aliendelea kudai kuwa hawezi kumpa mwanamke ujauzito.
Nilipomwambia kuwa nina ujauzito wake, alikataa kabisa na kuniambia nimtafute mwenye mimba hiyo kwa sababu siyo yake. Nilishangazwa sana na kauli hiyo, kwani nilikuwa na uhakika kwamba yeye pekee ndiye mwanaume niliyekuwa naye. Sikuwahi kumsaliti, na hivyo nilibaki nikiwa sielewi kwa nini alikuwa akikataa ukweli.
Baada ya kumsisitizia sana, alinipiga na kuniita msaliti. Aliendelea kudai kuwa nimtafute mwenye mimba. Hali ilikuwa ngumu sana kwangu, na wakati nikiwa kwenye hali hiyo ya sintofahamu, kijana mwingine, mwanajeshi, alitokea na kunipenda kwa dhati. Alifika hadi kutoa posa kwa wazazi wangu, na tulikuwa tunasubiri tu mipango ya ndoa.
Lakini siku moja, familia ya yule kijana wa kwanza walikuja nyumbani kwetu kwa msisitizo mkubwa kwamba mimba hiyo siyo ya mtoto wao, wakidai kuwa kijana wao ana matatizo ya kiafya yanayomzuia kumpa mwanamke ujauzito. Walitaka nitaje nani baba wa mimba hiyo, jambo ambalo liliniumiza sana kwa sababu nilikuwa na uhakika kwamba ni yake.
Nilijifungua mtoto wangu kwa shida nyingi kutokana na msongo wa mawazo. Lakini cha kushangaza ni kwamba mtoto alifanana sana na yule kijana pamoja na baba yake. Hali hiyo iliwafanya ndugu wa kijana huyo kutambua kuwa kweli yule mtoto ni wa kwao, na walitaka kumgharamia kila kitu.
Baadaye, yule kijana alikuja kwangu na kunieleza ukweli. Alikiri kwamba alikuwa na tatizo la kiafya ambalo lilimfanya aamini hawezi kumpa mwanamke ujauzito. Aliwahi kwenda hospitali mbalimbali bila mafanikio, lakini mwishowe aliamua kutumia dawa za mitishamba kwa siri kutoka kwa Dr. Bokko, na sasa anaamini kwamba tiba hizo za asili zilimsaidia.
Sasa nipo njia panda, maana yule kijana anataka turudiane, na familia yake ina maisha mazuri. Lakini mwanajeshi tayari alishanitolea posa, naogopa kumuumiza kwa kumwacha. Naombeni ushauri, nifanye nini?
Kwa mawasiliano zaidi na Dr. Bokko, piga simu kwa namba +255618536050.