Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama dawa mbalimbali za binadamu zinazotokana na mimea dawa alipotembelea kwanda kidogo cha dawa hizo cha Cardenas katikati Jimbo la Matanzas nchini Cuba, Agosti 13, 2024. Kushoto kwake ni mkewe Mama Mary Majaliwa, kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho Pedro Tanguero na kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

