Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waandishi wa Habari kutoka mkoa wa Dodoma muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao na maafisa ugani pamoja na wanaushirika Ikulu Chamwino, Jijini Dodoma, tarehe 10 Agosti, 2024.
RAIS SAMIA AKIWA NA WAANDISHI WA HABARI WA MKOA WA DODOMA CHAMWINO IKULU
