Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Ifakara, Ulanga, Mlimba na Malinyi kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM Ifakara, Kilombero Mkoani Morogoro tarehe 05 Agosti, 2024.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uwanja wa CCM Ifakara, Kilombero Mkoani Morogoro tarehe 05 Agosti, 2024.
Shamrashamra za Wananchi wa Ifakara wakimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mkutano wa Hadhara uwanja wa CCM Ifakara, Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro tarehe 05 Agosti, 2024.