Mkuu wa wilaya ya Kiteto Bw. Remidius Mwema akimsikiliza Mkurugenzi wa Bodi ya DIB, Bw. Isack Kihwili na katikati wakati akizungumza kushoto ni Meneja Uendeshaji wa Bodi hiyo, Bw. Nkanwa Magina.
…………….
Mkuu wa wilaya ya Kiteto ametembelea banda la Bodi ya Bima ya Amana katika maonesho Nanenane kitaifa jijini Dodoma na kupokelewa na Mkurugenzi wa Bodi hiyo, Bw. Isack Kihwili na Meneja Uendeshaji, Bw. Nkanwa Magina. Pichani, Mkuu huyo wa wilaya akipata maelezo kutoka kwa Bw. Kihwili.
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Bw. Remidius Mwema, katikati waliokaa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Bodi ya Bima ya Amana, baada ya kutembelea banda lao katika Maonesho ya Nanenane Kitaifa Dodoma. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Bodi hiyo, Bw. Isack Kihwili na kushoto kwake ni Meneja Uendeshaji wa Bodi hiyo, Bw. Nkanwa.