Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mwalimu Marry Masoud Sanya ambaye amefanya kazi ya Ualimu kwa miaka 26 kwa kujitolea katika Shule za Parakuyo, Twatwa na Manyara, Kilosa Mkoani Morogoro bila kusomea fani hiyo ya Ualimu.
Mwalimu Marry ndiye aliyepeleka Elimu ya Wasichana umasaini katika Shule ya Parakuyo na kufanya kazi kubwa ya kuwafundisha Wanafunzi kwa weledi mkubwa na kwa sasa hana Ajira kutokana na kukosa cheti.