Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Makanisa ya Pentekoste Tanzania (CPCT) Dkt. Barnabas Mtokambali vitendea kazi vya baraza hilo ikiwemo Dira ya Maendeleo, kwenye kilele cha Mkutano wa Baraza la Maaskofu wa Makanisa ya Pentekoste Tanzania, uliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa TAG, Miyuji jijini Dodoma Julai 19, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye kilele cha Mkutano wa Baraza la Maaskofu wa Makanisa ya Pentekoste Tanzania, uliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa TAG, Miyuji jijini Dodoma Julai 19, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
………………
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi zote za dini nchini kuendelea kushirikiana na Serikali katika kutoa mchango kwenye maendeleo ya taifa.