Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) na Mkurugenzi wa Miradi wa TANROADS, Mhandisi Japherson Nko kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege wa Nduli uliopo Iringa wakati alipokagua ujenzi wa uwanja huo Julai 8, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa Nduli mkoani Iringa ambao Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake Julai 8, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa serikali kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Julai 8, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)