Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisilikiza maelezo kutoka kwa Meneja Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha kupooza umeme wa msongo wa KV 132 kilichopo Nguruka Wilayani Uvinza Mhandisi Sospeter Oralo wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa KV 132 kutoka Urambo mkoani Tabora hadi Kidahwe mkoani Kigoma akiwa ziarani mkoani Kigoma tarehe 08 Julai 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisilikiza maelezo kutoka kwa Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha kupooza umeme
wa msongo wa KV 132 kilichopo eneo la Nguruka Wilaya ya Uvinza akiwa ziarani mkoani Kigoma tarehe 08 Julai 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasalimu wananchi wa Kijiji cha Nguruka Wilaya ya Uvinza mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha kupooza umeme wa msongo wa KV 132 akiwa ziarani mkoani Kigoma tarehe 08 Julai 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Nguruka Wilaya ya Uvinza mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha kupooza umeme wa msongo wa KV 132 akiwa ziarani mkoani Kigoma tarehe 08 Julai 2024.