Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpangoakizungumzamarabaada ya kupokeamaelezo ya mradi wa ujenzi wa barabara ya Malagarasi – Ilunde – Uvinza (km 51.1) kwa kiwango cha lami katika kambi ya MkandarasiKijiji cha ChakuluWilayaniUvinza, leo tarehe 08 Jalai 2024. (pichana Wizara Ujenzi)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip MpangoakipokeamaelezoKutoka kwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwakuhusu mradi wa ujenzi wa barabara ya Malagarasi – Ilunde – Uvinza (km 51.1) kwa kiwango cha lami katika kambi ya MkandarasiKijiji cha ChakuluWilayaniUvinza, leo tarehe 08 Julai 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpangoakitoamaelekezo kwa Waziri wa Ujenzi, Innocent BashungwanaMtendajiMkuu wa TANROADS, Eng. Mohamed Bestamarabaada ya kupatamaelezo ya mradi wa ujenzi wa barabara ya Malagarasi – Ilunde – Uvinza (km 51.1) kwa kiwango cha lami katika Kambi ya MkandarasiKijiji cha ChakuluWilayaniUvinza, leo tarehe 08 Julai 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpangoakisalimiawananchi wa Kijiji cha Malagarasi wakati akikagua mradi wa ujenzi wa barabara ya Malagarasi – Ilunde – Uvinza (km 51.1) kwa kiwango cha lamiWilayaniUvinza, leo tarehe 08 Julai 2024.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwaakizungumzanawananchi wa Kijiji cha Malagarasi wakati Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpangoakikagua mradi wa ujenzi wa barabara ya Malagarasi – Ilunde – Uvinza (km 51.1) kwa kiwango cha lamiWilayaniUvinza, leo tarehe 08 Julai 2024.