Khawaja Muzaffar Ahmak Amir na Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Islam nchini Tanzania akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania BoT katika maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 6,2024, katikati anayezungumza naye ni Noves Mosses Afisa Mwandamizi wa Itifaki na Uhusiano Benki Kuu ya Tanzania.
Khawaja Muzaffar Ahmak Amir na Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Islam nchini Tanzania akijadiliana jambo na Noves Mosses katikati Afisa Mwandamizi wa Itifaki na Uhusiano Benki Kuu ya Tanzania BoT wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 6,2024.
Khawaja Muzaffar Ahmak Amir na Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Islam nchini Tanzania akipata maelezo kutoka kwa Noves Mosses Afisa Mwandamizi wa Itifaki na Uhusiano Benki Kuu ya Tanzania BoT wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 6,2024.
Khawaja Muzaffar Ahmak Amir na Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Islam nchini Tanzania akizungumza jambo na Noves Mosses Afisa Mwandamizi wa Itifaki na Uhusiano Benki Kuu ya Tanzania BoT wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 6,2024.
Khawaja Muzaffar Ahmak Amir na Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Islam nchini Tanzania akipokea zawadi kutoka kwa Noves Mosses Afisa Mwandamizi wa Itifaki na Uhusiano Benki Kuu ya Tanzania BoT wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 6,2024.
Khawaja Muzaffar Ahmak Amir na Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Islam nchini Tanzania na ujumbe wake akisindikizwa na Noves Mosses Afisa Mwandamizi wa Itifaki na Uhusiano Benki Kuu ya Tanzania BoT wakati akiondoka mara baada ya kutembelea banda hilo katika maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 6,2024.