Wanandoa Hillary na mkewe Salome walilazimika kukabiliana na changamoto kubwa pindi tu waliponunua nyumba nzuri iliyopambwa vizuri na yenye vyumba vinne huko Ruiru, kaunti ya Kiambu.
Walilipa Ksh9 milioni ili kununua nyumba hiyo ambayo ilionekana kuwa dili, na punde tu walihamia na mtoto wao mmoja ambaye alikuwa ametoka tu kujiunga na darasa la tano.
Walikuwa na furaha kutua karibu na Nairobi na kuagana na kulipa kodi.
Mapema mwaka 2021 walikuwa wakitazamia maisha yenye amani na mafanikio katika makao yao mapya. Hata hivyo, upesi walitambua kwamba kuna jambo baya sana katika nyumba hiyo.
Tofauti na mifumo mingine mingi ya Kiafrika ambapo majirani wanavutiwa na watu wapya katika maeneo yao, kesi ya Hillary ilikuwa tofauti maana ajirani zake walionekana kuwa mbali na wengine walionekana kama watu wanaowaogopa.
Mwenye nyumba alijipa moyo na kumuuliza mmoja wa bodaboda wa eneo hilo kwanini majirani wa eneo hilo wanaonekana kutowachangamkia kabisa?. Alichoambiwa kilimtikisa.
“Inasemekana hiyo nyumba mliyonunua iko na majini, the last person aliishi hapo alitoka mbio saana. Hata vitu vyake hakubeba, alituma mtu mtu mmoja baadaye akakuja wakahamisha vitu vyake” Hillary alipewa taarifa hiyo.
Kwa ufupi, alifahamishwa kuwa nyumba hiyo ilikuwa na majini na kwamba mkaaji wa mwisho aliteswa na mizimu hiyo hadi kutimua mbio mithili ya mwanariadha.
“Sikuwaamini kwa kuwa nimekaa Mombasa kwa miaka mitano, nimesikia hadithi kama hizo na hakuna hata moja kati ya hizo iliyowahi kuonekana kuwa ya kweli. Niliichukulia kama mzaha,” alisema Hillary.
Hillary alifikiri kwamba labda majirani walikuwa na wivu kwa mafanikio yake au walitaka kumtisha ili kuondoka katiika nyumba yake, hivyo aliamua kuwapuuza na kuzingatia familia yake na kazi yake.
Lakini baada ya miezi mitatu kukaa katika nyumba hiyo, mambo yalianza kuwa ya ajabu, lakini kabla ya hapo, mvulana mdogo ndani ya nyumba hiyo alidai kuwa alimwona mtu kwenye sebule, kwenye korido na pia kwenye balcony.
Alisema kuwa mtu huyo ni mtu mwenye ndevu na kofia na alionekana kuwa na hasira na huzuni kwa wakati mmoja. Alisema kuwa mtu huyo angemtazama na kisha kutoweka.
Hillary na Salome walifikiri kwamba mtoto wao alikuwa anawaza tu mambo au kujaribu kupata usikivu. Walimwambia aache kutunga hadithi na azingatie masomo yake. Lakini mvulana huyo hakusema uwongo.
Haichukua muda Salome akadai kuwa nguo zake za ndani zilikuwa zikipotea kila mara, wakati fulani, alifikiri kwamba mume wake alikuwa akimtania kwa kuzichukua na kuzificha lakini Hillary alisema hawezi kamwe kufanya kitu kama hicho.
Kuna wakati Salome pia alihisi mtu akimgusa usiku, hasa siku ambazo mume wake hayupo nyumbani au amechelewa kurudi, alisema kwamba mguso huo ulikuwa sio wa kawaida na kumfanya aogope sana. Alisema kwamba aliweza kusikia sauti ikinong’ona sikioni mwake, ikisema “wewe ni wangu na utalipa”.
Hii iliwafanya waanze kuamini kuwa kuna kitu kibaya kuhusu nyumba hiyo, hali iliendelea kuwa mbaya, vyombo vinaweza kuvunjika wakiwa wamelala. Samani inaweza kuhamishwa au kupinduliwa. Milango inaweza kujifungua yenyewe, taa zinaweza kuwaka au kuzimika, TV inaweza kubadili chaneli au kujiwasha na kujizima.
Waligundua kwamba hawakuwa salama ndani ya nyumba hiyo, na kwamba walipaswa kufanya kitu kuhusu hilo. Waliweka kamera za CCTV ili kujaribu kuona ni nini kilikuwa kinaendelea ndani ya nyumba hiyo lakini hii haikufanya kazi.
Waliishi huku wakipoteza matumaini hadi waliposikia habari kuhusu Kiwanga Doctors baada ya waganga hao kuwanasa wezi walioiba M-Pesa huko Kitengela.
Hatimaye wanandoa hao waliamua kuwasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba zao za +255763926750, walieleza shida yao na kuomba msaada.
Kiwanga Doctors walikubali kuwasaidia na wakatembelea nyumba yao, kufika huko walifanya tambiko la uponyaji ndani ya nyumba hiyo, wakaondoa laana hiyo mbaya ambayo walisema ilisababishwa na mwenye nyumba hiyo kulishwa sumu na mkewe.
Walisema hii ilileta hali ya kutokuwa na utulivu, ilikuwa ni kutaka kulipiza kisasi. Lakini baada ya tambiko lao mambo yakawa shwari kabisa, hata majirani hawaamini jinsi familia hii imeweza kuendelea kuishi katika nyumba hiyo kwa amani.
Kiwanga Doctors wanajivunia kutoa dawa kama hizo ambazo husafisha mikosi katika mali kama kama nyumba, magari, viwanja na hata fedha.
Hillary na Salome walijawa na furaha na kuwashukuru Kiwanga Doctors kwa kuokoa maisha yao na ndoa yao. Walisema kwamba sasa wanajisikia furaha na amani katika nyumba yao, na kwamba hawana matatizo tena.
Wapigie Kiwanga Doctors kwa namba +255763926750 au +254769404965 au tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.com kwa maelezo zaidi.