Gavana wa Benki Kuu Tanzania Emmanuel Tutuba akimkaribisha Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Access Afrika Oluseyi Kumapayi wakati alipofanya ziara ya kazi Jijini Dar es Salaam hapo jana. Hivi karibuni, benki ya Access ilitangaza kukamilisha utaratibu wa kuinunua African Banking Corporation (Tanzania) Limited (“BancABC Tanzania” au “BancABC”), ikiwa ni hatua ya kimkakati ya kuifanyaa Tanzania kuwa kiungo kwa biashara za ndani na nje ya Africa hususani Africa Mashariki.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Emmanuel Tutuba ( wa nne kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Access Afrika Oluseyi Kumapayi ( wa nne kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa BancABC Tanzania Imani John wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa BoT na BancABC mara baada ya kufanya ziara ya kikazi kwenye ofisi za BoT hapo jana. Hivi karibuni, benki ya Access ilitangaza kukamilisha utaratibu wa kuinunua African Banking Corporation (Tanzania) Limited (“BancABC Tanzania” au “BancABC”), ikiwa ni hatua ya kimkakati ya kuifanyaa Tanzania kuwa kiungo kwa biashara za ndani na nje ya Africa hususani Africa Mashariki.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Emmanuel Tutuba (katikati) akimsikiliza kwa makini Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Access Afrika Oluseyi Kumapayi wakati alipofanya ziara ya kikazi kwenye ofisi za BoT Jijini Dar es Salaam hapo jana. Hivi karibuni, benki ya Access ilitangaza kukamilisha utaratibu wa kuinunua African Banking Corporation (Tanzania) Limited (“BancABC Tanzania” au “BancABC”), ikiwa ni hatua ya kimkakati ya kuifanyaa Tanzania kuwa kiungo kwa biashara za ndani na nje ya Africa hususani Africa Mashariki.. Kulia ni Naibu Gavana wa BoT Sauda Msemo.