Naita Emmanuel, nilikua na biashara zangu kama tatu, lakini zikiwa eneo moja. Kwa kuwa mimi ni mwalimu wa shule binafsi, muda mwingi nashinda kazini, hivyo msimamizi mkuu wa biashara zangu alikuwa ni mke wangu.
Sasa Julai 2020 wakati wa likizo ya Corona, mke wangu alisafiri kwenda nyumbani kwao kusalimia. Nikawa nasimamia mimi mwenyewe, shule zikafunguliwa huku mke wangu akiwa bado hajarudi.
Hapo ndio hali ilivyoanza kubadilika, wafanyakazi walitumia nafasi hiyo kuniumiza, yaani kuniibia fedha kwa kushirikiana na mtu wangu wa karibu, ambaye kwangu alikuwa kama ndugu na rafiki.
Aliwashawishi wafanyakazi wangu pasipo mimi kujua. Kwanza ikatokea hasara kubwa sana ya kiasi cha kama Ksh2.7 milioni hadi biashara ikayumba maana mzunguko wa fedha ulishuka sana.
Baada ya hapo wafanyakazi wote wakaomba kwa pamoja kuacha kazi, kabla sijajua cha kufanya nikamwambia mke wangu awahi kurudi nyumbani maana hali ni mbaya.
Nikaamua nifunge kwa muda wa siku tatu ili kumngoja mke wangu. Gafla nikapokea simu kutoka kwa mwenye fremu akisema anataka abadilishie matumizi ya sehemu hiyo, hivyo natakiwa nihamishe biashara zangu na atanilipa gharama zangu za usumbufu.
Basi nikaamua kutoa vitu vyangu, kumbe yule jamaa yangu kanizunguka. Niliporudi kufuatilia gharama zangu, nikamkuta nae kafungua biashara kama zile zangu, na wafanyakazi wangu wote amewaajiri.
Sikufanya chochote, nikagundua walishirikiana na mwenye fremu pia. Sasa kibaya kabisa kilichoniuma, nilitoka kuchukua mkopo miezi mitano nyuma, nikaiweka kwenye biashara. Na biashara ndio hiyo ikawa imekufa.
Mke wangu aliporejea alisikitishwa na hali hiyo sana. Akanishauri tuende kwa Kiwanga Doctors kutafuta suluhisho, alisema wataalamu hao wa tiba asilia wanaweza kuifufua biashara iliyokufa, kuikinga biashara na hata kuongeza mauzo ya biashara husika.
Tuliamua kwenda kwa Kiwanga Doctors ambao walitufanyia matambiko na kutupatia pete ya bahati kwa ajili ya kuvuta wateja na kuikinga biashara yetu mpya.
Ndani ya muda mfupi tulitafuta eneo lingine la kufanya biashara na kuanza upya, haikuchukua hata miezi mitatu tukawa tumerejea katika hali yetu ya mwanzo sema kiwango cha mauzo kilikuwa juu zaidi ya ilivyokuwa hapo awali.
Cha kushangaza ni kwamba wale walionifanyia hujuma katika biashara yangu ya mwanzo, walienda kufilisika na wale wafanyakazi walionikimbia sasa hivi wanakuja tena kwangu kuniomba msamaha. Wasiliana na Kiwanga Doctors kwa n@qamba +255763926750 au +254769404965 au kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.com.