Kaimu Meneja Mkuu Kampuni ya ETDCO CPA Sadock Mugendi Amesema Wanaendelea kuimarisha miundo mbinu ya Umeme Nchin ikiwemo Tabora na Katavi ambao Miradi ya Usambazaji Umeme inaendelea Ambao Mradi Umefkia Asilimia 67.
Mgendi Amesema Dhumuni la Kwanzisha Kampuni hyo ni Kuisadia Tanesco kujenga Miundombinu na kuikarabati pamoja na kusambaza Umeme.
Kaimu Meneja Mkuu Sadock Amesema Mradi wa Kutoka Tabora kwenda Katavi wenye Urefu zaid ya kilometa 300 una Volts 132 ambao Unarajiwa kumalizika Mwakani Ambao Mkoa wa Katavi Utapata Umeme wa Uhakika pia Kuipunguzia Gharama Tanesco za Kununua Mafuta ya Dizeli kwajili Jenereta ili kuzalisha Umeme kwenye Mkoa Wa Katavi.
CPA Sadock Ameipongeza Serikali kwendelea kuwekeza kwenye Sekta ya Nishati ili Kuhudumia Wanachi wake vizuri, Amesema Hao Wakati Akitembelea Mradi wa Kimkakati wa Tabora kwenda Katavi wenye Kilovats 167. ETDCO ni kampuni Tanzu ya Tanesco.