Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 24, 2024. Kutoka Julia ni Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo, Mbunge wa Viti Maalum, Nancy Nyalusi na Mbunge wa Busega, Simon Songe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)