Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Mgeni wake Rais Umaro Sissoco Embalo wa Guinea Bissau wakati alipowasili Ikulu jijijini Dar es Salaam akiwa katika ziara ya kikazi ya tatu nchini Tanzania leo Juni 22, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na na Mgeni wake Rais Umaro Sissoco Embalo wa Guinea Bissau wakati akisaini kitabu cha wageni alipowasili Ikulu jijijini Dar es Salaam akiwa katika ziara ya kikazi ya tatu nchini Tanzania leo Juni 22, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mgeni wake Rais Umaro Sissoco Embalo wa Guinea Bissau wakati akisaini kitabu cha wageni alipowasili Ikulu jijijini Dar es Salaam akiwa katika ziara ya kikazi ya tatu nchini Tanzania leo Juni 22, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mgeni wake Rais Sissoco Embalo wa Guinea Bissau wakati akisaini kitabu cha wageni alipowasili Ikulu jijijini Dar es Salaam akiwa katika ziara ya kikazi ya tatu nchini Tanzania leo Juni 22, 2024. leo Juni 22, 2024.