Polisi Kata ya Tunduma iliyopo Wilaya ya Mombo Mkoa wa Songwe Mkaguzi Maaidizi wa Polisi Yahaya Mkwama Juni 20, 2024 akitoa elimu kwa Madereva pikipiki maarufu kama bodaboda kuhusu madhara ya uhalifu na umuhimu wa uti wa sheria ili kuzuia ajari zinazoweza kuepukika ili kuepusha uharibifu wa miundombinu ya barabara na madhara kwa jamii.
Aidha, kupitia elimu hiyo Mkaguzi Mkwama amewataka madereva hao kutii sheria za usalama barabarani ikiwa ni pamoja na kuvaa kofia ngumu ili kujikinga na madhara pindi wapatopo ajari.