Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, bungeni Jijini Dodoma, Juni 11, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, bungeni Jijini Dodoma, Juni 11, 2024. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 11, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Spika wa Bunge, kwenye viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, Juni 11, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)