Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea tuzo ya heshima katika sekta ya michezo kutoka kwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro, kwenye ukumbi wa SuperDom Masaki Jijini Dar es Salaam Juni 09, 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokuwa akiwasili kwenye ukumbi wa ‘The Super Dom’ ambapo atakuwa Mgeni Rasmi katika Hafla ya Tuzo za Pili (2) za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kwa Wanamichezo Bora wa Mwaka 2024
Masaki-Dar es Salaam
Juni 09, 2024.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa tuzo ya Mwanamichezo Bora wa Kike Bondia Grace Mwakamele wakati wa Hafla ya Utoaji wa Tuzo za Pili (2) za Baraza la Michezo la Taifa kwa Wanamichezo Bora wa Mwaka 2024, kwenye ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam Juni 09, 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa tuzo ya Mwanamichezo Bora wa Kiume Bondia Yusuf Lucas Changarawe wakati wa Hafla ya Utoaji wa Tuzo za Pili (2) za Baraza la Michezo la Taifa kwa Wanamichezo Bora wa Mwaka 2024, kwenye ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam Juni 09, 2024