Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mkutano wa ndani na Wanachama na Viongozi wa CCM wa Wilaya ya Same, leo Ijumaa, Juni 7, 2024, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku nne ya kikazi Mkoa wa Kilimanjaro. Kabla ya mkutano huo, Balozi Nchimbi alisimikwa kuwa mmoja wa Wafumwa (Chifu) wa Kabila la Wapare.