SONGWE
Serikali ya Awamu ya Sita imekamilisha ujenzi wa viwanja vya ndege vitatu (3) katika kipindi cha miaka mitatu (Machi 2021-Machi 2024) ambavyo ni viwanja vya ndege vya Songwe, Songea, Mtwara
Aidha, katika kipindi hicho, Serikali imeendelea na utekelezaji wa miradi ya viwanja vya ndege 7 ambayo ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji.
Viwanja hivyo ni Msalato 56.9% Package I – Miundombinu na 22.56% Package II – Majengo), Musoma 55%, Iringa 93% Kigoma (Awamu ya III 3.7%); Sumbawanga 10% Shinyanga 16% na Tabora (Awamu III 45%
Vilevile, taratibu za manunuzi zinaendelea kwa ajili ya ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Lake Manyara, Iringa (Awamu ya II) na Kiwanja cha Ndege cha Tanga