Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Dkt. Charles Msonde akizungumza na Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu na Walimu waliopo Manispaa ya Bukoba (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi chake na maafisa hao.
Sehemu ya Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu na Walimu waliopo Manispaa ya Bukoba wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Dkt. Charles Msonde (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi chao na Naibu Katibu Mkuu huyo.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Dkt. Charles Msonde akiwa katika kikao kazi na Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu na Walimu waliopo Manispaa ya Bukoba kilichofanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Bukoba.
Baadhi ya Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu na Walimu waliopo Manispaa ya Bukoba wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Dkt. Charles Msonde (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi chao na Naibu Katibu Mkuu huyo, kilichofanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Bukoba.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Bw. Stephen Ndaki akimshukuru Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Dkt. Charles Msonde (hayupo pichani) mara baada ya Naibu Katibu Mkuu huyo kufanya kikao kazi na Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu na Walimu waliopo katika Manispaa ya Bukoba.
Baadhi ya Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu na Walimu waliopo Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Dkt. Charles Msonde (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi chao na Naibu Katibu Mkuu huyo, kilichofanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Kashozi.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Dkt. Charles Msonde akiwa na wanafunzi wa shule ya Sekondari Kashozi alipowasili shuleni hapo kwa ajili ya kufanya kikao kazi na Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu na Walimu waliopo Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba.