RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Taq-wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, alipowasili katika viwanja vya msikiti huo kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa na Dua Maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 31-5-2024, baada ya Sala ya Ijumaa, dua hiyo iliyoandaliwa na Wazee wa Bweleo.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Kijiji cha Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Wazee wa Bweleo iliyofanyika katika Masjid Taq –wa Bweleo leo 31-5-2024.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wazee wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masjid Taq-wa Bweleo, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 31-5-2024.(Picha na Ikulu)
SHEIKH Suleiman Zahir Khamis akihitimisha kisomo cha hitma ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masjid Taq-wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 31-5-2024.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Kijiji cha Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kutowa shukrani kwa Wananchi wa Bweleo kwa niaba ya familia, baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwnyi, iliyofanyika katika Masjid Taq-wa Bweleo leo 31-5-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Bweleo na kutowa shukrani kwa niaba ya Familia, baada ya kumalizika kwa kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 31-5-2024 katika Masjid Taq-wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu).
WANANCHI wa Kijiji cha Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika kuitikia dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kisomo cha hitma na dua iliyofanyika katika Masjid Taq-wa Bweleo leo 31-5-2024.(Picha na Ikulu)