Bw. Waziri Kipacha Katibu Ukuzaji Maadili, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma akiongoza kiapo cha Ahadi ya Uadilifu kwa maafisa 12 wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji baada ya kupandishwa vyeo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Kamishna kwa maafisa 2 na Naibu Kamishna maafisa 10, zoezi hilo lilifanyika tarehe 30 Mei, 2024 makao makuu ya Jeshi hilo mkoani Dodoma na kuhudhuriwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John Masunga.