Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni jijini Dodoma, Mei 30, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (katikati) na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange, bungeni jijini Dodoma, Mei 30, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akiingia bungeni jijini Dodoma, Mei 30, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)