Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Jenista Mhagama. Bungeni jijini Dodoma Mei 29, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa jimbo la Geita, Joseph Musukuma Bungeni jijini Dodoma. Mei 29, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Kyerwa Innocent Bilakwate Bungeni jijini Dodoma. Mei 29, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).