Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa na Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa kuhusiana na taarifa ya Operesheni iliofanywa kukabiliana na Makundi ya Uhalifu katika Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa akisisitiza Jambo wakati akijibu maswali ya Waandishi wa Habari kuhusiana na Tarifa ya Operesheni iliofanywa kukabiliana na Makundi ya Uhalifu katika Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa na Waandishi wa Habar kuhusiana na Tarifa ya Operesheni iliofanywa kukabiliana na Makundi ya Uhalifu katika Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar. (PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZNAZIBAR.28/05/2024)