Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye ukumbi wa Mlimani City kushuhudia uzinduzi wa Albamu ya Muziki wa Mama ya Msanii wa Kizazi Kipya Rajab Abdul akaHarmonize tarehe 25 Mei, 2024.

Baadhi ya Viongozi mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa Albamu ya Muziki wa Mama kutoka kwa Msanii wa Kizazi Kipya Rajab Abdul aka Harmonize katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Mei, 2024.
Wasanii pamoja na Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Albamu ya Muziki wa Mama ya Msanii wa Kizazi Kipya Rajab Abdul aka Harmonize katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Mei, 2024.