Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua Kongamano la Pili la Biashara na Uwekezaji baina ya Tanzania na Uganda kwenye ukumbi wa hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam, Mei 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Waziri wa Mmbo ya Nje na Ushirkiano wa Afrika ya Mashariki , January Makamba (kushoto) na Waziri wa Nchi Mambo ya Nje ( Masuala ya Kikanda ) wa Uganda, John Mulimba wakiwa wamesimama wakati nyimbo za Taifa wa Tanzania, Uganda na Afrika ya Mashariki zilipoimbwa kabla ya Waziri Mkuu kufungua Kongamano la Pili la Biashara na Uwekezaji baina ya Tanzania na Uganda kwenye ukumbi wa hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam, Mei 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Afisa Masoko wa Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA), Marietha Kileo (wa pili kulia) wakati alipotembelea banda la maonesho la TPA kabla ya kufungua Kongamano la Pili la Biashara na Uwekezaji baina ya Tanzania na Uganda kwenye ukumbi wa hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam, Mei 23, 2024. Kulia ni Afisa Masoko wa TPA , Hussein Katanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)