Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo wakati wa kipindi cha maswali na majibu katika Kikao cha 32 Mkutano wa 15 wa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 23 Mei, 2024.