WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais -Ikulu Zanzibar Mhe. Ali Suleiman Ameir akiwasilisha hutuba ya Makadirio na Mapato ya Mtumizi ya Wizara ya Nchi Afisi ya Rais Ikulu Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025,kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,wakati wa Kikao cha Bajeti kinachofanyika katika ukumbi wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar leo 17-5-2024.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais –Ikulu Zanzibar Mhe. Ali Suleiman Ameir akizungumza na kubadilisha mawazo na Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu Zanzibar Ndg. Saleh Juma Mussa,(kulia kwake)baada ya kumaliza kuwasilisha hutuba ya bajeti ya Makadirio na Mapato na Matumizi ya Afisi yake kwa mwaka wa fedha 2024/2025, kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.leo 17-5-2024.(Picha na Ikulu)