Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, bungeni jijini Dodoma, Mei 14, 2024. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu wa Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania na Askofu wa Dayosisi ya Mwanza, Mussa Magwesela alipokutana na Askofu huyo na ujumbe wake Ofisini kwa Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma, Mei 14, 2024. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu wa Jimbo Katoliki la Shinyanga, Askofu Liberatus Sangu,alipokutana na Askofu huyo na Ujumbe wake, Ofisini kwa Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma, Mei 14, 2024. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).