Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri anaeshughulikia Masuala ya Maendeleo ya Kimataifa wa Ufaransa Mhe. Chrysoula Zacharopoulou walipokutana Jijini Paris Ufaransa tarehe 13 Mei, 2024. Rais Samia yupo nchini Ufaransa kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika unaotarajiwa kufanyika tarehe 14 Mei 2024 ambapo pia atakuwa Mwenyetiki Mwenza katika Mkutano huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri anaeshughulikia Masuala ya Maendeleo ya Kimataifa wa Ufaransa Mhe. Chrysoula Zacharopoulou walipokutana Jijini Paris Ufaransa tarehe 13 Mei, 2024. Rais Samia yupo nchini Ufaransa kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika unaotarajiwa kufanyika tarehe 14 Mei 2024 ambapo pia atakuwa Mwenyetiki Mwenza katika Mkutano huo.