Baadhi ya Wakazi wa Msomera Handeni Mkoani Tanga wakipata elimu ya matumizi ya Mitungi ya Taifa Gas kutoka kwa Wataalamu wa Kampuni ya Taifa Gas wakati mafunzo ya nadhalia ya siku tatu yaliyoanza leo na yanatarajiwa kumalizik juamatano.Jumla ya mitungi 1000 ya Taifa Gas inatarajiwa kugawiwa bure kwa wakazi hao katika hafla kubwa itakayofanyika ijumaa mai 17,2024.