Mwenyekiti CHADEMA Bw. Freeman Mbowe akizungumza katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendele CHADEMA kikiendelea na
Leo tarehe 12 Mei 2024 ikiwa ni siku ya pili. Kamati Kuu ya Chama hicho inafanya usaili wa watia nia katika nafasi mbalimbali za Kanda za Nyasa, Victoria, Serengeti na Magharibi ambapo wakumbe mbali mbali wanahudhuria